Rais Jakaya Kikwete akipiga Ngoma za Watemi kuashiria ufunguzi Rasmi wa sherehe za Bulabo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kisesa Magu Viongozi wa chama na serikali wakishuhudia kulia kwa Rais Kikwete ni Mark Bomani, Abas Kandoro Mkuu wa mkoa wa Mwanza,George Sangija Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watemi na Waganga pia Mamanju wa Kisukuma na Mzee Mabina Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza sherehe hizo zimefanyika Bujora Mwanza
Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius Kiongozi wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma Silaha za jadi walizokuwa wanatumia Watemi hao Rais Kikwete alitembelea makumbusho hayo na baadaye kushiriki kwenye sherehe za Bulabo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kisesa Magu Mkoani MwanzaRais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius Kiongozi wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma Watemi Walijenga kibanda na kuandika majina njia ambayo walitumia kujifunza kuhesabu makumbusho hayo yanajulikana kama [Bujora wasukuma museam]
No comments:
Post a Comment